Viongozi Wetu
Timu yetu ya viongozi wenye uzoefu katika sekta ya afya. Wanaojitolea kuhakikisha unapata huduma bora za afya kwa wakati wote.
Answar
Mkurugenzi Mtendaji
Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani na mwanzilishi wa MediConnect Pro. Ana uzoefu wa zaidi ya miaka 20 katika sekta ya afya.
answari@mediconnectpro.tz
Felister
Mkuu wa Kitengo cha Matibabu
Daktari bingwa wa watoto mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 5. Amefanya kazi katika hospitali mbalimbali nchini.
felister@mediconnectpro.tz
Baraka
Mkurugenzi wa Teknolojia
Mtaalam wa teknolojia ya habari na usalama wa mtandao. Ana uzoefu wa miaka 10 katika kusimamia mifumo ya kisasa.
baraka@mediconnectpro.tz
Jackline
Kitengo cha Matibabu na Mhasibu
mzoefu katika matibabu na anauzoefu wa zaidi ya miaka 5
jackline@mediconnectpro.tz
Deprecated: htmlspe